Miaka mitano imepita toka staa wa kimataifa wa England ambaye aliyewahi kuzichezea Man United, Real Madrid na AC Milan David Beckham atangaze kustaafu kucheza soka la ushindani na kuamua kuendelea na maisha mengine.
David Beckham amepiga picha akiwa Miami Marekani lakini safari yake hiyo ya Miami inatajwa kuwa ni kwa ajili ya kutangaza kitu kikubwa katika Ligi Kuu Marekani ambapo amewahi kucheza akiwa na LA Galaxy.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni