Jumatatu, 29 Januari 2018

HABARI>>DR.SLAA AMEKUTANA NA RAIS JPM LEO IKULU.

Dr. Wilbroad Slaa aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Balozi japo kituo chake cha kazi hakikutajwa, leo January 29 2017 wamekutana IKULU Dar es salaam ambapo hii video hapa chini itakuonyesha kila kitu.

Hakuna maoni: