Jumatatu, 29 Januari 2018

VIDEO MPYA>>ITAZAME HAPA VIDEO MPYA YA MBOSSO KUTOKA WCB.

Baada ya kimya cha muda mrefu cha muimbaji wa Bongofleva Mbosso aliyekuwa member waYamoto Band Mbosso leo ametambulishwa rasmi kuwa msanii wa sita kusainiwa na WCB.Bonyeza play kuitazama .

Hakuna maoni: