Mchezaji wa kimataifa wa CameroonSamuel Eto´o ametangazwa kuvunja mkataba na Antonlyaspor ya Uturuki na kuamua kujiunga na club ya Konyaspor ya Uturuki .
Samuel Eto´o alijiunga na Antalyaspor mwaka 2015 akiwa ameitumikia timu hiyo miaka miwili na mwaka huu 2018 ameamua kujiunga na Konyaspor baada ya kuvunja mkataba na timu hiyo kwa makubaliano ya pande zote mbili .
Pia Eto´o alisha wahi kuchezea Fc Barcelona 2004 -2009 na kufanikiwa kushinda champions league mara tatu ,Pia alishawahi chezea vilabu kama Inter Milan,Anzhi Makhachkala ya Urusi,Chelsea ,Evarton na Sampdoria ya Italia kabla ya kwenda Uturuki.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni