Msanii kutoka nchini Afrika kusini Cassper Nyovest ameweka picha kwenye ukurasa wa instagram akiwa pamoja na msanii Swizz Beats kutoka nchini Marekani na kuwajulisha mashabiki kuwa kuna wimbo mpya unakuja.
" Unapojaribu kupanga wimbo na swizz Beatz lakini bado hujui.Haahaaa hi picha inachekesha"maneno ya Cassper Nyovest.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni