Jumapili, 7 Januari 2018

MICHEZO:MBWANA SAMATTA AMERUDI UWANJANI BADADA YA KUKAA MIEZI MIWILI NJE.

Mbwana Samatta  amewajulisha mashabiki zake na watanzania ni baada ya kuwa nje ya uwanja takribani  miezi miwili ,sasa amerudi uwanjani na ameanza mazoezi mepesi.
Samatta ameyaandika haya kupitia mtandao wa instagram .Nina furaha, kuanza mazoezi ya uwanjani baada ya kuwa nje kwa takribani miezi miwili kutokana na maumivu ya goti _Samatta


Hakuna maoni: