Jumanne, 30 Januari 2018

MICHEZO>>MANCHESTER CITY IMEKAMILISHA USAJILII WA AYMERIC LAPORTE.

Klabu ya Manchester City imekamilisha usajili wa mchezaji wa Athletic Bilbao defender Aymeric Laporte’23’ kwa ada ya pound milioni £57m. Kwa pesa za Pound Aymeric Laporte anakuwa mchezaji wa Man City aliyesajiliwa kwa pesa nyingi zaidi ya ya Kevin De Bruyne wa mwaka 2015.
Laporte ataweza kucheza na klabu ya Burnley jumamosi hii na atakuwa na haki zote za kucheza kwenye Champions League na Man City
Man City watabidi walipe Euro milioni 5 zaidi kwaajili ya haki zote za Laporte.

Hakuna maoni: