Jumanne, 30 Januari 2018

HABARI>>SHULE KUMI BORA KWENYE MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2017.

Leo januari 30 2018 Baraza la mitihani Tanzania `NECTA´ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ulifanyika October 2017 ambapo Shule ya iliyoshika namba moja inatoka jijini Mbeya.
Shule kumi bora.
10. Shamsiye Boys ya Dar es salaam
9. Marian Boys ya Pwani
8. Feza Girls ya Dar es salaam
7. Canossa ya Dar es salaam
6. Marian Girls Pwani
5. Anwarite Girls ya Kilimanjaro
4. Bethel Sabs Girls ya Iringa
3. Kemebos ya Kagera
2. Feza Boys ya Dar es salaam
  1. St. Francis Girls ya Mbeya
shule zilizo shika nafasi za mwisho.
10. Mtule ya Kusini Unguja
9. Nyeburu ya Dar es salaam
8. Chokocho ya Kusini Pemba
7. Kabugaro ya Kagera
6. Mbesa ya Ruvuma
5. Furaha ya Dar es salaam
4. Langoni ya Mjini Magharibi
3. Mwenge S.M.Z ya Mjini Magharibi
2. Pwani Mchangani ya Kaskazini Unguja
  1. Kusini ya Kusini Unguja.

Hakuna maoni: