Mshambuliaji wa Argentina na ambaye aliwahi kuchezea klabu kama Manchester United, Manchester City na Juventus Carlos Tevez amerejea katika klabu yake ya utotoni Boca Juniors inayoshiriki ligi kuu ya Argentina mara baada ya kuondoka katika clabu ya Shangai iliyopo China.
Kocha wa klabu ya Shanghai Shenhua, Wu Jingui alimtupia vijembe Carlos Tevez uzito alio kuwa nao mchezaji huyo na kusema kwamba straika huyo hatojumuishwa kikosini mpaka aimarishe uimara wake.
Share habari na marafiki zako kupitia#Rayv94.Blogspot.com.
Acha comment yako hapa..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni