Jumapili, 28 Januari 2018

HABARI ZA MASTAA>> MALIA OBAMA MAPENZI MOTO MOTO NA RORY FARQUHARSON AMBAYE NI MWANAFUNZI MWENZAKE.

Mtoto wa kwanza wa kike wa Aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama, Malia Obama amepigwa picha tena akiwa na mpenzi wake ambaye ametajwa kwa jina kuwa ni Rory Farquharson, picha hizi zilipigwa mjini New York wakati wakifanya Shopping.
Rory Farquharson ni mtoto wa tajiri nchini Marekani, familia yao inaishi kwenye nyumba yenye thamani ya Pound milioni £1.6, yuko mwaka wa pili kwenye chuo kimoja na mtoto wa Obama cha Harvard University,Cambridge.

Hakuna maoni: