Mwanamuziki kutoka Marekani The weekend wengi walimfahamu zaidi baada ya kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na staaSelena Gomez amesikitishwa na kitendo cha brand ya nguo nchini humoH&M kuwa wabaguzi wa rangi na kumdhalilisha mtoto mdogo.
share habari na marafiki zako #
Rayv94.Blogspot.com
Brand ya nguo ya H&M ambayo ni kubwa nchini Marekani imefanya tangazo na kumvalisha mtoto wa kiume mwenye asili ya Afrika nguo yenye maneno ya kumdhalilisha mtu mweusi yanayosomeka “Mimi ni nyani mtulivu msituni”
The weekend ameonyesha kukerwa na tabia walioifanya kampuni hiyo ya nguo ya H&M na kuamua kuandika kupitia ukurasa wake wa twitter na kusema kuwa hatofanya kazi tena naH&M kutokana na kuwa wabaguzi wa rangi.
NAOMBA MAONI YAKO HAPA..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni