share habari na marafiki zako#
Rayv94.Blogspot.com
Muslim Hassanali ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amehamia rasmi Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo amepokelewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangulla Pugu jijini Dar es Salaam.
Hassanali pia aligombea ubunge wa Jimbo la Ilala kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA.
Naomba acha maoni yako hapa..

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni