Jumatano, 10 Januari 2018

MICHEZO: DE BRUYNE AMKARIBISHA ALEX SANCHEZ MAN CITY.

share habari na marafiki zako.
Rayv94.Blogspot.com.
Mshambuliaji Kevin De Bruyne anaamini Alexis Sanchez atakuwa na mchango mkubwa wa mafanikio katika kikosi cha Manchester City.
Sanchez ambaye mkataba wake na Arsenal umesalia miezi sita anatarajia kukamilisha usajili wake wa kuichezea Man City kabla ya mwisho wa juma hili.
De Bruyne “Sanchez ni mchezaji mzuri sana, Hakika tutaona kinachotokea katika kipindi hiki cha uhamisho ila kwakweli Sanchez atakuwa ni chagua bora zaidi na tunazidi kumkaribisha atatukuta kwenye mazoezi.”
Naomba acha comments hapa..

Hakuna maoni: