Mchezaji wa zamani wa Arsenal aliyejiunga na Man United katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili Alexis Sanchez, zimeoneshwa picha za nyumba atakayokuwa anaishi jijini Manchester katika kipindi akiitumikia Man United.
Zimeonyeshwa picha ya Nyumba atakayokuwa anaishi yenye thamani ya pound milioni 2 sasa ndio mchezaji anayelipwa pesa nyingi EPL, mshahara wake ni pound 350000 kwa wiki.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni