Baada ya kuonekana kukata tamaa kutokana na zoezi hilo kuchukua muda mrefu bila mafanikio makubwa, tabasamu la Wastara limerejeshwa na Rais Magufuli na Mke wake Mama Janeth baada ya kutoa shilingi MILIONI 15 kiwango ambacho ni zaidi ya kile kilichohitajika.
Pia Wasaidizi wa Rais nao wameamua kumchangua Wastara kwa kumpatia Shilingi milioni 1.9 ambazo waliamua kuuchangishana kutoka mifukoni harakaharaka wakati walipotumwa na Rais kuzipeleka milioni 15 kwa mwigizaji huyo.
Kaa karibu na Rayv94.Com kwa habari mbali mbali zinazo tufikia ,usi ache kuweka email yako hapa ili uweze pata habari kupitia email yako.
Bonyeza hapa kuangalia nafasi za kazi mpya Www.Rayv942.Blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni