Hospitali ya Rufaa Bugando Mwanza kwa mara ya Kwanza wamepata Kifaa cha kupima mionzi CT-SCAN, ambacho kimegharimu Bilioni. 1.7, akizindua kifaa hicho Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu jana Jan26, 2018 ameahidi kuwapatia kifaa cha MRI kabla ya mwaka 2018 kukamilika.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
-
Leo january 30 2018 Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha nne CSEE 2017 na matokeo ya mtihani wa maarifa (...
-
Share habari na marafiki zako# Rayv94.Blogspot.com. Katibu wa balaza la mitihani, Dk Charles Msonde, ametangaza matokeo ya mitihani ...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni