Jumanne, 9 Januari 2018

BURUDANI:JACQULINE WOLPER AMEANDIKA MAMENO HAYA BAADA YA WASANII KUITWA NA WAZIRI WA HABARI,SANAA UTAMADUNI NA MICHEZO.



           share habari na marafiki zako.
                       Rayv94.Blogspot.com
Baada ya kuona Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo JULIANA SHONZA kuwataka wasanii ambao wamekuwa wakikaa nusu utupu katika mitandao ya kijamii na kwenye music videos zao kuwa wanahitajika kuripoti BASATA wakiwemo wasanii Gigy Money ,na Sanchi 
Baada ya Pretty Kind  kutangazwa kufungiwa miezi 6 katika kazi yake ya sanaa  Jacquline Wolper kupitia  account yake ya instagram alipost picha ya wanawake wamevaa mabaibui na kuandika maneno haya“Akuna namna dadekiiii mambo ya miezi 6 sitakiii”  Baada ya dk kazaa ali amua kuondoa maneno hayo.

Naomba comments  hapa..

Hakuna maoni: