Rayv94.Blogspot.com#
Dogo Janja na Irene Uwoya sasa waonyesha pete zao za ndoa.Baadaya ya kufunga ndoa mwaka jana 2017.
Dogo Janja ameonyesha pete yake kupitia account yake ya instagram na kuandika maneno haya “The ring is really DOPE weddingring na Irene Uwoya ameweka picha ya kidole chake cha kikiwa na pete yake ya ndoa”
Dogo Janja na Irene Uwoya sasa wamefanikiwa kuwaaminisha raia kuwa ni mke na mume ikiwa ni baada ya mashabiki wengi kuzidi kuwa na wasi wasi juu ya kama ni kweli palikuwa na ndoa au ilikuwa filamu.
Share habari na marafiki zako.
Naomba niachie maoni yako hapa..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni